Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2016

maalim Seifu Speaks THESE Mosque bi zired

he has said Seif on mosque bi zired after prayers Friday CCM sword to kill him in APOSTOLIC SAYS STRATEGIES ARE  PLANS TO BE ARRESTED AND TAKEN BARA as they are undergoing sheikh  SAYS IS ALREADY ARRESTED BUT NEVER  BACK I insist that ISLAND ARTICLE blessing BELONG TO ZANZIBAR          Island portion blessing  immemorial the island belonged to Zanzibar each year  Zanzibari were going to embed the flag of Zanzibar on the island I also, when I was minister  I went embedding flag in the constitution states that all assets that were before the colonial Zanzibar property will nganyika do not want to say now is the portion of their island, why say it?  say so deep blessing island portion provides oiled for now               

HARUNA NIONZIMA

First and thank God for being able to emerge with a victory day .yanga is a great team we can stabilize pressure . my teammates for a good game and fans continue to support us for the next games. words to link HARUNA NIO NZIMA of Yanga after the game ended

Rashford amefichua beki anayemuogopa zaidi EPL 1 1 Marcus Rashford amemtaja Laurent Koscielny kama beki mgumu kabisa kuwahi kukutana naye mpaka sasa kwenye maisha yake ya soka. Rashford amekuwa kwenye kiwango bora tangu apate nafasi kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United msimu uliopita, akifunga mabao 12 kwenye michuano yote. Straika huyo amekuwa na tabia ya kufunga kila mechi katika michuano anayocheza kwa mara ya kwanza akiwa United na timu ya England. Ikumbukwe Rashford alifunga mabao mawili kwenye mchezo wake wa kwanza kwenye Ligi ya England dhidi ya Arsenal ambapo United walishinda mabao 3-2 Old Trafford. Lakini Rashford (18), bado anaamini kwamba beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa ndiyo beki mgumu zaidi kuwahi kukutana naye. “Nadhani kwangu binafsi, Laurent Koscienly wa Arsenal,” Rashfod aliiambia tovuti rasmi ya United. “Ni beki mgumu zaidi kucheza naye.”

Marcus Rashford amemtaja Laurent Koscielny kama beki mgumu kabisa kuwahi kukutana naye mpaka sasa kwenye maisha yake ya soka. Rashford amekuwa kwenye kiwango bora tangu apate nafasi kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United msimu uliopita, akifunga mabao 12 kwenye michuano yote. Straika huyo amekuwa na tabia ya kufunga kila mechi katika michuano anayocheza kwa mara ya kwanza akiwa United na timu ya England. Ikumbukwe Rashford alifunga mabao mawili kwenye mchezo wake wa kwanza kwenye Ligi ya England dhidi ya Arsenal ambapo United walishinda mabao 3-2 Old Trafford. Lakini Rashford (18), bado anaamini kwamba beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa ndiyo beki mgumu zaidi kuwahi kukutana naye. “Nadhani kwangu binafsi, Laurent Koscienly wa Arsenal,” Rashfod aliiambia tovuti rasmi ya United. “Ni beki mgumu zaidi kucheza naye.”

Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila Kuna Beef kati ya Ali na Sallam

Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam. 1.Show ya Tigo Dar es salaam mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter akimkashifu na kumtukana Ali kuwa ni mchawi na muoga akitoa madai kuwa Ali na timu yake waliruka ukuta kuingia back stage na Ali akumsalimia msanii yoyote kule back stage japo walikuwepo wakina A.Y,Mwana da,Barnaba boy,Ben Pol,Ommy Dimpozi,Diamond na wasanii wengine Kibao. Hapo ndio utashikwa na mshangao mambo ya Ali kuruka ukuta na kutomsalimia msanii yoyote ikiwa kweli au ni uongo yeye Sallam inamuhusu nini?! Na mbona wasanii wengine au mameneja wao hawakuzungumzia ile kitu kwanini yeye imuume namna ile na kuropoka kwenye social network kwa kiasi kule?? 2.Show ya ODM-Mombasa Kukawa na Show nyingine Mombasa..Show ambayo haikuwa ya diamond lilikuwa ni Tamasha la Chama cha Siasa ODM cha bwana Rai