Usalama mkali umedumishwa nchini Saudi Arabia
Takriban Mahujaji wa kiislamu milioni 1.5 wamekusanyika nchini Saudi
Arabia chini ya ulinzi mkali, kabla ya kuanza rasmi ibada ya hija ya
kila mwaka.
Hija hii ni moja ya mikutano mikubwa zaidi ya kidini duniani
Iran iliilaumu Saudi Arabia kwa kutosimamia ibada za Hija inavyofaa, na imekataa kuwaruhusu raia wake kuenda Saudi Arabia kuadhimisha ibada ya Hija.
Hija hii ni ya kuimarisha undugu katika dini ya kiislamu
Maoni
Chapisha Maoni