Kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas imeonyesha kiatu maalum mchezaji wa Man Utd Paul Pogba kwenye mechi yao na Man City Derby wekeend hii.
Adidas wamemtengenezea Paul Pogba viatu maalum ambavyo atavitumia siku ya mechi yao na Manchester City.
Adidas ndio wanamdhamini mavazi ya michezo mchezaji Paul Pogba wametengeneza kiatu maalum kwa ajili ni mchezaji wao.
Kiatu hichi ni “Adidas ACE16 + Purecontrol Viper Pack”.
Maoni
Chapisha Maoni