Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAZIRI WA MICHEZO NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA

WAZIRI WA MICHEZO NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA.


 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimia na Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya mara
baada ya kuwasili katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na Balozi Peter Kallaghe kutoka Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika viwanja vya Coco kwenye hafla ya 
 kuadhimisha Siku ya kimataifa ya  Yoga leo June 19, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco
leo June 19, 2016 kushoto ni Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya .
 Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco leo June
19, 2016 kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga
iliyofanyika katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016 katikati ni Balozi wa 
 nchini
Mhe. Sandip Aryan na kulia ni Mkuu wa Mkoa 
 wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifanya mazoezi mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga iliyofanyika Leo June 19, 2016 Jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akifanya mazoezi katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga iliyofanyika Leo
June 19, 2016 Jijini Dar es salaam kulia ni Balozi Peter Kallaghe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 Washiriki kutoka sehemu mbalimbali wakifanya mazoezi mbalimbali katika kusherekea Siku ya
kimataifa ya Yoga iliyofanyika leo June 19, 2016 Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kumalizika kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Yoga yaliyofanyika leo
  June 19, 2016 katika viwanja vya coco jijini dar es saalam

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMA BIBLIA TAKATIFU HAPA

                                                        BONYEZA HAPA KUSOMA BIBLIA       

MUHIMBILI YAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WENYE TATIZO MFUMO WA HEWA NA NJIA YA MKOJO.

 Kutoka kulia ni Dk. Zaitun Bokhary  na Dk. Yona Ringo wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakimfanyia upasuaji mtoto mwenye tatizo kwenye mfumo wa hewa na chakula LEO kwa kushirikiana na  Profesa Saber  M. Waheeb (kushoto) na wenzake kutoka Misri.  Kutoka kulia ni Dk. Yona Ringo na  Dk. Zaitun Bokhary wa Muhimbili wakiendelea na upasuaji kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Misri.  Profesa Saber  M. Waheeb (katikati) akijadiliana jambo na Dk. Zaitun Bokhary kabla ya kuanza kwa shughuli ya upasuaji kwa watoto wanane LEO. Kutoka kushoto ni Mwambata wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Kanali Salum Haji Othman nchini Misri na nchi zote za Mashariki ya kati na Dk Yona Ringo wakifuatilia mazungumzo hayo leo.   Grace Joel akiwa na watoto wake pacha, Eliudi Joel  (katikati) na Elikana Joel wakisubiri kufanyiwa upasuaji wad njia ya mkono. Awali watoto hao kutoka Mbeya walizaliwa wakiwa wameungana na baadaye walifanyiwa upasuaji na kutenganishwa.  Kutoka kushoto ni

UNGANA NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KATIKA KUABUDU.UNGANA NAE UBARIKIWE.