chunya; uongozi wa serikali katka wilaya ya chunya mkoani mbeya ume wataka wazazi kuhakikisha wanarudisha wanafunzi wote walio kimbia masomo kuanzia sasa had julai 1 mwaka huu. uongozi huo umesems baada ya hapo utafanyika msako wakubaini ambao hawakutekeleza agizo hilo nakufishwa kwenye vyombo vya dola OFISA tawala wa wilaya hiyo SOstenes mayoka ametoa kauli hiyo kikao cha wazazi cha kupanga mikakati ya kuinua kiwango cha elimu wilayani hapa katka kijiji cha itumbikata ya matumbas ''hatutakikuendelea kushuhudia lundo la vijana wasio kuwa na elimu wako mitaan na ninyi wazazi mnao ruhusu watoto wenu kwenda kwenye machimbo badala ya kuwatengenezea mazingira bora ya kwenda shule kiama chenu kina sogea ''amesema mayoka.
Maoni
Chapisha Maoni