kwaya ya uinjilist makorora uzinduzi wa album nimwingi wa rehema Februari 21, 2016 ukitaka album coment numba yako apa utaletewa MPAKA ulipo sio ya kukosa fanya kwel mtu wa mungu BARIKIWA kwaya ya uinjilist makorora katika ubora wao Endelea kusoma
uzinduzi wa albam ya nne kwaya ya uinjilist makorora tanga Februari 05, 2016 uzinduzi wa albam ya nne kwaya ya uinjilist makorora tanga utafanyika pale usharikan tarehe 21 mwez wa pil njoo ujionee utukufu wa mungu ni kuanzia asubuh saa mbili karibu sana Endelea kusoma