Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2015

kusifu kuna wapasa wanyoofu wa moyo

hakika wewe ni mungu wastahili sifa na heshima maana umetukuka mataifa yote ya kusujudia ninan aliye mkuu kama wewe umetuweka sirini mwako bwana tukujue zaidi ya fahamu zetu maana ata sasa tunasema umetuokoa kwa neema tu na si kwa ujanja we kama sio wewe bwana israel na aseme sasa